Cats mentor & lay counsellor

  • Tanzania, Mbeya
Naitwa Gwamaka Abely Mwakibinga nina umri wa miaka 28 naishi Karagwe Kagera ninaishi na maambukizi ya VVU tangu Juni 2014. Kwa sasa nafanya kazi kama mteja mtaalamu katika Hospitali ya kama muhamasishaji lakini pia mhamasishaji kuhusu kupima wingi wa virus HVLMy name is Gwamaka Abely Mwakibinga, I am 28 years old, I live in Karagwe, Kagera, I have been living with HIV infection since June 2014. I am currently working as a client specialist at the Hospital as a mobiliser but also a mobiliser on HIV viral load testing.
  • English and Kiswahili
  • Lay Counsellor  at   MDH  
  • 2019 -